Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Esta mkorofi...

Ila kuna wengine wachoyo sana wa chumvi yao. Hawataki iguswe isipokuwa tu kwa koleo. Na wengine uvinza ni must mpaka kesho yake mnagombana nani atoe godoro nje ili kuepuka aibu ya wapangaji.

Ukiona mada za dizaini hii jua kuwa weekend imekaribia! Uvinza, limbwata, kupiga deki, nyanya kuwekwa kwenye nanilu nk nk! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…