Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mike Tyson hali kadhalika. Na wengi wengine hasa weusi.Unaweza kuamini kama R Kelly hajui kusoma, kujumlisha wala kuandika? Alikuwa na utajiri wa $150M lakini leo Bank ana $350K. Watu wamesepa na hela yake hata child support hawezi kulipa, kweli elimu ni mali! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Milioni moja ya Kenya ni Sh ngapi za Kitanzania? Hizo ni hela nyingi sana kwa mtu wa kawaida.Hili ni janga la Waafrica wengi. Familia siyo wewe, mke wako na watoto. Kuna wajomba, Shangazi, wapwa, jirani na kadhalika! Kuserve milioni kwa mtu wa kipato cha chini ni mtihani! [emoji1][emoji1]
Mike Tyson hali kadhalika. Na wengi wengine hasa weusi.
Kajanja ni ka Floyd Mayweather. Hakajui kusoma lakini kanaonekana kuwa OK japo huko mbele haijulikani kwa sababu ya matumizi ya kutisha na investments za ajabu ajabu...
Wadau nimerudi, anzeni kumwagilia like
Kodoa kodo
Mwenye wivu ajinyonge sana...