Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Jeneresheni ya sosho midiaUtoto tu. Mkigombana mnakuja kuanikana hadharani...na nudes zenu juu. Hopeless!!!
View attachment 1041612
Have a totally blessed day!
Hovyo kabisaJeneresheni ya sosho midia
Pata malike
πππππππππ MTU mzima atishiwi nyau ujue........Naona unafukua makaburi ya kwini wetu. Halafu umegundua nini kwenye hayo makaburi? Unafikiri ni kwa nini post zake zina 16 likes lakini za wengine zina 6 au 7 tu?
Homework hiyo nimekupa. Usiipuuzie [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha Uchochezi..conspiracy theoriesNaona unafukua makaburi ya kwini wetu. Halafu umegundua nini kwenye hayo makaburi? Unafikiri ni kwa nini post zake zina 16 likes lakini za wengine zina 6 au 7 tu?
Homework hiyo nimekupa. Usiipuuzie [emoji16][emoji16][emoji16]