Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati anajiunga na Manchester United akitokea Molde, Desemba mwaka jana, Kocha Solskjaer ili kuwa hawezi kubebwa jumla na wababe hao wa Old Trafford kwa sababu sheria hairuhusu kuwa na mikataba katika klabu mbili kwa wakati mmoja.
 
Lakini kauli yake ya Solskjaer aliyotoa Ijumaa kwamba Molde imesitisha mkataba wake huo inawafanya Man United kuchukua uamuzi wowote kama ikiamua kumpa mkataba wa kudumu kocha huyo ambaye kwa sasa ameifanya kuwa moto huko England na kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Pochettino ndiye aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ya kwenda kuwa kocha huko Old Trafford, lakini mambo ya Solskjaer yamebadili kila kitu, hasa baada ya kufanya maajabu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuisukuma nje PSG licha ya kupoteza kwa mabao 2-0 katika mechi ya kwanza iliyofanyika uwanjani Old Trafford, akaenda kushinda 3-1 ugenini huko Ufaransa na timu kutinga hatua ya robo fainali.
 
Kwenye penzi hapakosi tenzi[emoji445]

Juwata jazz band msondo ngoma magoma kitakita 1986

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unaongelea safu ile ya waimbaji Fresh Jumbe, Tino *******, Selemani Mbwembwe, Joseph Rusungu na mwenyewe TX Moshi Willam.
Hapa mziki huu ulikuwa unachezwa wababe tu.
Kama huna mbavu za kutisha unaishia kuchezea kipigo tu
 
Kibao kimegeuka. Upepo umebadilika kwa Jose Mourinho ambaye hivi karibuni alikuwa ni miongoni mwa makocha waliokuwa wanatajwa katika kurithi mikoba ya kuinoa Real Madrid, baada ya uongozi wa klabu hiyo kumpa mkataba Zinedine Zidane.
 
Hata hivyo, inaelezwa kwamba Mourinho alikuwepo kwenye mipango ya Rais wa klabu hiyo, Florentino Perez lakini viongozi wengine wa juu ndani ya klabu hiyo wakakumbushia suala la Mourinho kutokuwa na uhusiano mzuri na wachezaji vyumbani wanakobadilishia nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…