myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😀😀😀😀😀Man United ikasubiri kuona bao likirudi, halikurudi, kufumba na kufumbua, wakapigwa chuma cha pili kwa penalti ya Pierre-Emerick Aubameyang. Hadi hapo, mechi ikawa imekwisha na Man United, ambao ni wababe wa kupindua matokeo kwa msimu huu, jahazi lao lilizama moja kwa moja.
Kwa Mchina tunasubiri vumbi la Congo tukalimwage bonde la Msimbazi jmosi penye majaaliwa yake Muumba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁Hahaha kila la kheri bro
AS Vital wanatakiwa waje wao kama wao pamoja benchi la ufundi,,mashabiki watatukuta huku[emoji23][emoji23]
Huyu kiumbe atavunja miguu mishipa imesimama tabu ya nini yote
😁😁😁😁😁😁😂😂😂 fashoonHuyu kiumbe atavunja miguu mishipa imesimama tabu ya nini yote
Aisee inipite kwa kweli miguu inakuwa ina kigimbi kama dume huwa navaa ila sio mara kwa mara itokee nakwenda kwa sherehe😁😁😁😁😁😁😂😂😂 fashoon
Upo bibie,,mambo vp?mzima wewe?Aisee inipite kwa kweli miguu inakuwa ina kigimbi kama dume huwa navaa ila sio mara kwa mara itokee nakwenda kwa sherehe
Nipo mkuu, mambo Safi wifi yangu hajambo na watoto wetu.Upo bibie,,mambo vp?mzima wewe?
HahahNipo mkuu, mambo Safi wifi yangu hajambo na watoto wetu.
Kwa kweli kwangu Nashuruku mungu pumzi ipo 😀Hahah
Hajambo ndugu yangu,antie zako pia wapo vizuri kabsa,tunamshukuru Mungu
Vp kwa upande wako?
Jambo la kheri hilo,bora uhai[emoji2]Kwa kweli kwangu Nashuruku mungu pumzi ipo [emoji3]
Kwenye uzi huu huwa ukosi mkuuJambo la kheri hilo,bora uhai[emoji2]