hatari....hakuna kuibia..Mitihani ingekuwa inafanywa hivi matokeo yangekuwaje?View attachment 1045383
Sent using Jamii Forums mobile app
wakusoma poleni...
Mungu atupe jioni njema..
AminMungu atupe afya na uzima..
Hahahah hapo lazima jasho likutoke,hapo ndio huwa unamuona mtu mara atafune kalamu,hahahMbaya uwende na kinondo halafu ukute ulicho andika hakuna hata moja au Msimamizi kaweka kiti kwenye Meza yako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]