Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tottenham ilikaribia sana kumsajili mchezaji wa kiungo cha kati wa Ureno na kwa wakati huo mchezaji wa Porto Joao Moutinho mnamo 2012, anasema meneja Andre Villas-Boas. Moutinho, wa miaka 32, sasa anaichezea Wolves. (Talksport)
 
53283813_122243985584509_3925591128357502640_n.jpg
 
Sio ujinga angalia na maisha na malengo ya ni kitu cha muhimu kuishi nyumbani hakuna shida wengine wanaishi home mpaka watakapooa ndio wanaruhusiwa kuondoka kwao. Watoto wa matajiri wengi huishi kwao ili waendelee kufundishwa mishe za biashara

Sent using Jamii Forums mobile app

Vipi outcome yake kwa huyo kijana??kuna tofauti kubwa kati ya kujifunza practically na theory
 
ila mwanaume anayekuja kukaa home kwenu kudate nae ni poa? yaani anahama kwao anahamia kwenu kwenye chumba chako mnapika na kupakua na ndugu zako wapo humo humo

Huu ndouboya wa mwisho bora ubaki kwa babako
 
mapenzi ni vile unavyoyadifine wewe... mi sioni shida just wherever as long as love exists between the two of them
hata mtu akae chooni !stendi ,kwa shemeji popote
awe gay au msagaji!!!! WATU WANAISHI MAISHA YAO WE UNAUMIA

Nateseka aisee
 
Back
Top Bottom