Mimi pia uyanga unatokana na mzee .... enzi hizo ikishinda mzee akiwa na furaha tulikua tanapigishwa bata hadi tukawa tunaiombea ishinde ...Mzee wangu ni shabiki wa yanga na Arsenal humwambii kitu yani! Sikuwai kushabikia Simba na Yanga kabisaa ila sababu ya mzee wangu, yanga ikifanya vibaya me pia nilikua myonge kiasi chake! Lakini kwa gamu ya jana! Wacha nione napataje membership Simba!!
ππππWacha nifanye utaratibu nimuone!!!
BTW Yanga imekaa ki CCM ccm Zaidi
Mimi pia uyanga unatokana na mzee .... enzi hizo ikishinda mzee akiwa na furaha tulikua tanapigishwa bata hadi tukawa tunaiombea ishinde ...
ππππSaivi kila mtu na hamsini zake!!
Ashinde, afungwe I don care.
πππππππBro mimi Yanga na jana nilikua nyutro πππ
Which side are you?πππππππ
Yanga..ukichanja natema yellow...Which side are you?
I hope you have enjoyed the weekend.
Weekend nzuri.. nakula bataWhich side are you?
I hope you have enjoyed the weekend.
ππππYanga..ukichanja natema yellow...
Haya kula bata, maisha yenyewe ndio hayahaya.Next time tualikaneWeekend nzuri.. nakula bata