Mamma Mia [emoji39][emoji39][emoji39]
kutoa na kupewa..
Picha la kutisha.. Wapaka lotion hawana hamu
DuuuuKuna wadau wamejibu muda ilipoingia ndio muda inapotoka baada ya miezi tisa
Mzee wangu ni shabiki wa yanga na Arsenal humwambii kitu yani! Sikuwai kushabikia Simba na Yanga kabisaa ila sababu ya mzee wangu, yanga ikifanya vibaya me pia nilikua myonge kiasi chake! Lakini kwa gamu ya jana! Wacha nione napataje membership Simba!!
Aje kwenye tawi letu tutampa kadi mara mojaHayo ndio maneno sasa. Membership ya Simba muone moudgulf: Kadi unaipata ndani ya masaa machache! [emoji1][emoji1]
Yanga wana uhusiano na CCMWacha nifanye utaratibu nimuone!!!
BTW Yanga imekaa ki CCM ccm Zaidi
Hahaha[emoji16][emoji16]Mimi pia uyanga unatokana na mzee .... enzi hizo ikishinda mzee akiwa na furaha tulikua tanapigishwa bata hadi tukawa tunaiombea ishinde ...
HahahahaSaivi kila mtu na hamsini zake!!
Ashinde, afungwe I don care.
Duuu kumbe mko wengi hapa[emoji16][emoji16]Yanga..ukichanja natema yellow...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo uchokozi nsha achana nao.Nipo bro, itakua tulipishana tuu.
Niliuona ule uthibitisho wako wa swimming pool la kwanza kule Mwanza.