Prof alimkodi jamaa amvushe kwenda ng'ambo ya pili, wakati wako safarini anapiga makasia, prof akamuuliza jamaa kama anajua kusoma na kuandika, jamaa akajibu hapana, prof akamwambia, "You are as good as dead".
Mara ikaibuka dhoruba, mawimbi yakaanza kuja kwa kasi, ikabidi nahodha wa boti amuulize pro kama anajua kuogelea, prof akasema hapana, jamaa akamwambia, "You are dead".