Urembo kazi
Hahahaaaaaaaa [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Kuna wanaume niliwaona wakicheza tena kwa mbwembwe zote ule wimbo wa " i`m a single lady" huku wakinyosha mikono juu na kuimba sikuwaelewa kbs! [emoji3] [emoji4] [emoji3]
Hahaha si bora hao labda hawajui kimalkia kuna wanao imba ule wimbo wa gigy papa.Kuna wanaume niliwaona wakicheza tena kwa mbwembwe zote ule wimbo wa " i`m a single lady" huku wakinyosha mikono juu na kuimba sikuwaelewa kbs! [emoji3] [emoji4] [emoji3]
😅😅😆😆😆😆😆Hahaha si bora hao labda hawajui kimalkia kuna wanao imba ule wimbo wa gigy papa.
Mambo kama hayo zamani tunatarajia yafanywe na Serie A au La Liga Santander...zote kwisha.Maisha yanakwenda kasi sana. La Liga kwa sasa ina timu moja tu kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya, wakati Ligi Kuu England imeingiza timu nne kwenye hatua ya robo fainali ya michuano hiyo msimu huu.
Hilo linatajwa ni mabadiliko ya ubora kwenye michuano hiyo ya Ulaya.