Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchezaji wa safu ya ulinzi wa Arsenal Stephan Lichtsteiner anasema kuwa hana uhakika kama atakuwa kwenye klabu hiyo msimu ujao, licha ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 kutoka Uswisi anafanya mazungumzo juu ya mkataba wake mpya . (Sky Sports)
 
Mlindalango wa Real Madrid Mbelgiji Thibaut Courtois, mwenye umri wa miaka 26, anasema yeye ndie bado anashikilia nafasi ya kwanza duniani na amevishutumu vyombo vya habari vya Uhispania kwa "utaka kumuua". (El Espanol via Goal)
 
Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Rui Costa anaamini itakuwa vigumu kuendelea kuwa na mshambuliaji Mreno Joao Felix katika klabu hiyo. Manchester United, Juventus na Liverpool wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka. (Tuttosport - in Italian)
 
Nipo napitia mafaili. Inavyoonekana hakukuwa na vurugu yo yote. I love you guys [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mapito tuliyo yapitia yametunyoosha. Mwenyekiti wa TRM ametingwa hata kutamka "shikamoo baba" anashindwa. Jambo la kumshukuru Mungu ni huu uhai na afya njema anayo tupa kila siku
 
Ni kweli. Cha muhimu uzima tu kwa kweli. Vifo kila kona na mtu ukifanikiwa kuamka asubuhi ni kumshukuru Mungu. TRM naona ilikufa japo nami ni memba siku hizi.
 
Ankoo kuna saa wino unabaki kidunchu tu kutosha neno duh! Diamond siku hizi kachapika hadi huruma,magazeti nimeyahamishia kwa tununu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ankoo
Halafu ankoo kuna kamfumo umekaanzisha ka kukomenti kwa neno moja tu "Duhh" kila mahali nilipo kuona, unataka kusema hata kama uzi ni wa kumsifia Diamondi utakomenti neno hilo tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…