Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Si ajabu binti wa Kisukuma huyu ...
Hahah asante sana kwa taarifa Numbisa,mm sijambo kabsaNingeee ningendako anko anakusalimia
Kiongozi kwema?
Dogo sijui atakuwa kalimishwa mazao ya kuvuna baada ya miezi tisa!!! Amepotea sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata ww Esta,unanipiga jungu[emoji134][emoji134]Dogo atakua kakamatwa kwenye matesti ma asainiment bado magrupu diskasheni na makuizi si mchezo. Salamu zitafika akiibuka tu
HahahaSawa Ankoo nimekuelewa.
Huyu dogo ningendako hajafungua chuo? Ameadimika sana, msalimie sana ukionana nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilizifumania umezimwaga picha tena zile za limsamaki.... Kweli adui mpende
TRM bado ipo bro,,tulikuwa tunajipanga kwa msimu mpya.Ni kweli. Cha muhimu uzima tu kwa kweli. Vifo kila kona na mtu ukifanikiwa kuamka asubuhi ni kumshukuru Mungu. TRM naona ilikufa japo nami ni memba siku hizi.