Hali kama hii iliipata Ujerumani miaka iliyopita, ambapo baada ya aibu, waliamua kusuka kikosi cha vijana, wakapanda taratibu hadi kuja kuwa tishio duniani kote, lakini yaelekea wamezeeka, ndiyo maana wakaja kuaibishwa mno kwenye fainali zilizopita za Kombe la Dunia.