Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2. Ander Herrera (Man United)

Kuna tetesi kuwa, tayari mazungumzo ya awali katika dili la kuendelea kumbakiza, Ander Herrera, ambaye ameonesha kiwango kizuri chini ya Ole Gunnar Solskjaer, yameshafanyika. Hata hivyo ukweli usiofichika ni kwamba, umri wake umemtupa mkono.
 
1. Adrien Rabiot (PSG)

Kwa sasa Adrien Rabiot, hana tofauti na mfungwa katika Jiji la Paris. Ni mfungwa ambaye hata hivyo, anakaribia kuwa huru. Atapata uhuru wake mwisho wa msimu, kwani mkataba wake katika klabu ya PSG unamalizika.
 
Mwenyewe nime pause kwanza kutafakari hili, sikujua kama angekua na hilo kichwani sababu ilikuwa discusssion ya watu watatu tu. Nmeshangaa sana!! Kuna watu wanatusoma na wanatuchukua kama walivyo tusoma, hii ni hatari sana.
Ndivyo ilivyo bro. Hata siku ile nilijaribu kukukomalia sana kuhusu ishu ya R. Kelly ili kukutisha lakini ukawa ngangari. May be kwa vile hatujuani but people perceive us the way we project ourselves here and elsewhere else. Mimi hata nikionana na watu humu picha waliyonayo ni Shimba mpenda misambwanda; and the implications are not pretty [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahaha jf bwana ... kwa hiyo huipendi?
 
Salamu najua bhana,sema kuongea ndio ishu,ila kusikia nasikia vyema tu,,,

Salamu nafahamu pia,mfano Ulaileani =habari za asubuhi
Aisee. This is very sad. So maandaeitini wote wa humu hamjui lugha za kikwenu isipokuwa prof. peke yake.

So guys who are you? Trend hii ikiendelea, Kinyiramba kitakuwa na hali gani huko mbele ya safari? Kuna thamani yo yote kuwa Mnyiramba? Unaweza kuwa Mnyiramba hata kama hujui Kinyiramba na utamaduni wa Kinyiramba?

Kuna mvuvumko mkubwa wa watu kujitambua wao ni nani katika dunia hii kwa sababu utamaduni na lugha yako ndivyo hasa vinafinyanga falsafa na mitazamo yako. Utasikia wazee wakisema "Mwanaume wa Kinyiramba hawezi kufanya hivi. Wanyiramba huwa hatuko hivi..."...lakini nyie kizazi kipya mpo mpo tu rolo modozi wenu akina Justini Biba....

Halafu eti ndiyo umekubali kubeba mikoba ya uenyekiti wa TRM. Unatushambulia weee kumbe mwenyewe wala hujijui ni nani. Utuwache indeed wallahi usije ukanifanya nikahama Masaki Peninsula [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…