Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Global Green
images%20(2).jpeg
 
Kama albums sidhani kama atakuja fanya kama ile ya Adventures of Bobby Ray, kwenye Strange Clouds nako alifanya vizuri kidogo. Japo siku hizi kavurugikiwa sana, naona anaamini kwamba The Earth is flat and Human Clones are real.
Haha
Umenikumbusha mbali sana hapo kwenye Adventure of Bobby Ray,ile albums nakumbuka ulikuwa huwez kuforward hata kidogo,jamaa alisimama vyema sana,,miaka ya hv karbun anajitahid kutoa ngoma lkn wapi,Game inaenda kasi sana,mainstream inataka kuwasikia Drake,K.Lamar,J.Cole,Big Sean kwa mbali,,
 
Kuna ngoma mle ndani inaitwa Fame ni hatari sanaaa. Ila hata hivyo Game la Marekani limekuwa too corporate yani, lebo zimekuwa na nguvu kuliko wasanii.
 
Back
Top Bottom