Fisi mbabe hivi kweliFisiiiiii....
View attachment 1055913
Usimchezeee chatuBeing swallowed whole.....
View attachment 1055915
Salama kabisaShwari mkuu, kitambo sana.Salama huko?
Binadamu tungekuwa hivyo ingekuwajeMaisha ya wanyama ni hatari sana. Aidha unakula au unaliwa mzima mzima! [emoji1][emoji1]
Yupo huyu gwiji
Bradha umekosea
YopYaani ukiwa chini huku kwenye food chain sijui mla majani aisee ni hatari sana. Ila ndo hivyo. Ni system inayojitosheleza na iko balanced sana.
Sio kazilankandaMurutunguru hapa, saa tano na robo asubuhi saa hii! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]