Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Muone [emoji36][emoji36][emoji36]Hahahaha
Eti kamanda mkuu. Wa misambwanda labda [emoji16][emoji16][emoji16]
Halafu akaenda kufia Morocco peke yake na kuzikwa huko huko bila shamra shamra wala madoido. Na maalmasi yote yale akayaacha.Joseph Mabutu Seseseko Kuku Ngbengu wa Zabanga wa Zaire sasa DR Congo. Alikua nusu mfalme na nusu Rais,
Enzi za Utawala wakeView attachment 1057375
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hahaha, ungemsaidia mkuu?Wapi huko? Ungeniita Best [emoji41]
Mara nyingi kunakuwa na trigger nyingine. Mtu anakuwa na ishu zingine ama za kisaikolojia au mental na hii inakuwa kama kijazilizio tu...Uamuzi mgumu, wa kijinga ni uamuzi wa kukurupuka.
Nimewaona wengi waliokurupuka kwa njia hiyo.
Mwenyezi Mungu amuhifadhi mahali panapostahiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuu, ungetuita tumwage povu[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaha kaka nilizungukwa na Wakenya matusi kama yote kwenye ule uzi wanawake wa Tanzania VS Kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hamna Umoja nyinyi
Viongozi wa Afrika. Wanatumiwa na Marekani weeeee halafu wanaishia kutupwa kama takataka. Halafu hawasomi alama za nyakati mapema. Huyu walimtumia kumuua Lumumba kwa hofu ya Ukomunisti, wakaiba madini ya Kongo kwa miaka na miaka na kuifanya nchi yake kuwa kituo cha kupitishia silaha kwenda kwa akina Savimbi na vibaraka wengineo . Upepo ulipobadilika wakamuacha. Sad !!!Dictator Mabutu Seseseko kuku Ngbendu wa Zabanga of Zaire ( DR Congo)- 1965-1997View attachment 1057367
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo hayuko siriazi...Dogo anazuga, itakuwa tayari keshaongea kwa herufi kubwa, akaona aondoke kiaina
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alienda mbali zaidi na kujiita mungu. Mwishowe aliwehuka na kuwa kichaa kabisa...Dictator Jean Bedel Bokassa of Central African Republic .
1966-1979View attachment 1057389
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumwaga povu yataka moyo hasa kama hujazoea [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Sanaaaa wana matusi hao nadhani kuliko sisi. Kuna wakati nilikuwa kwenye JamiiForums ya Kenya wakianza kutukakana nilikuwa nasoma kimya kimya nakubaki nikishangaa halafu wengi Kiswahili chao ni kibovu sana.
Hahahaha aisee pole sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nashukuru kuna member akaja kunisaidia nikapata kaupenyo sikuludi tena kwenye ule uzi.
Shukran sana mkuu.[emoji1431][emoji1431][emoji1431] Shukrani sana Mkuu, weekend njema kwako pia na wote uwapendao.