BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Huo mkono unaonyesha jinsi mwenye mkono huo alivyo mrembo na anavyojipenda.
Kupost habari za michezo uwe na lugha ya Numbisa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Subiri akija. Ukikoromewa usije kuomba msaada...Alishakataa hizo ishu. Mi niliandikiwa gazeti tena deep nikikanywa kutorudia tena kumtania kuhusu mafenesi na maparachichi. Jiandae [emoji16][emoji16][emoji16]Kupost habari za Fenesi na maparachichi uwe na lugha ya andjul
Prof kapotea. Popote ulipo ukuje huku Prof. Tunahitaji maarifa yako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kujuajua vitu uwe na lugha ya Pyaar
Anisamehe kabisa kabla hajaona Mana nimemkosea bila kujua[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]. Subiri akija. Ukikoromewa usije kuomba msaada...Alishakataa hizo ishu [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua kuna mambo yanambanaProf kapotea. Popote ulipo ukuje huku Prof. Tunahitaji maarifa yako [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app