Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kutekwa tekwa uwe na Lugha ya SHIMBA YA BUYENZE
fe42c5ab-26c8-48c2-88cc-46445a791dfe.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena supu iwe ya moto, ikolee ndimu, chumvi na pilipili. Ikiwa ya moto naitamani sana, ndimu iliyomo nayo ndiyo haswa inayonifanya niipende supu. Lakini lazima kuwe na chapati moja pembeni. Nikishakaa sawa hapo ninaweza kushushia soda baridi.”
 
Mbali na uzito, anasema pombe inaweza ikaingiliana na ufyonzaji wa virutubisho katika mwili wa binadamu, akitoa mfano vyakula vyenye vitamin C kuwa vinaweza visipokewe vizuri mwilini kutokana na muingiliano wa pombe na virutubisho.
 
Kevin Strang, Profesa wa Chuo Kikuu cha Wisconsin, Marekani, anasema pombe huzuia uwezo wa mwili kunyonya maji, hivyo kusababisha kichwa kuuma na sukari hupungua kwa sababu moja ya kazi kubwa za ini ni kuibadili sukari iliyohifadhiwa katika hali ya glucose kuwa kitu ambacho mwili unaweza kukitumia.
 
Kama ini lako linafanya kazi kubwa ya kuondoa pombe, halitakuwa na uwezo mkubwa wa kukupa glucose unayohitaji. Kwa hiyo mwili huamka sukari ikiwa chini, na hivyo kujisikia vibaya,” Kuhusu supu, Strang anasema kimeng’enya kinachosaidia ini kuivunja pombe, pia husaidia kuupa mwili glucose inayohitajika, anasema Strang.
 
Kimeng’enya hicho hupatikana kutoka vitamin B inayoitwa B3 au niacin. Kwa hiyo vitamin B itaongeza upatikanaji wa hicho kimeng’enya na itasaidia mchakato wa kutoa sumu na kuongeza sukari ya kwenye damu,” anaeleza Strang.
 
Back
Top Bottom