Kimetokea nini kwani mkuu?kitufe cha sad na angry havihusiki ndani ya thread hii tunakumbushana.
wale wanaoichukia hii thread lengo lao limeshafanikiwa kiupande fulani lakini tutashusha tanga na kupandisha tanga safari iendelee.
Numbisa Malcom Lumumba SHIMBA YA BUYENZE moudgulf Davet Rostema capitalpool Beef Lasagna ningendako Yegomasika BAK mzee wa liver Cole Williams myoyambendi
april fool muje ofisini mupokee gawio lenu
[emoji3070][emoji1664][emoji208][emoji1661][emoji247][emoji207][emoji231][emoji241][emoji243][emoji233][emoji251][emoji240][emoji3058][emoji893][emoji1639][emoji3053][emoji2247][emoji960][emoji3038][emoji3039][emoji3040][emoji458][emoji971][emoji2087][emoji2100][emoji592][emoji590][emoji589][emoji603][emoji599][emoji607][emoji587][emoji920][emoji913][emoji551][emoji923][emoji1278][emoji916][emoji918][emoji917]
Kuna mabadiliko JFKimetokea nini kwani mkuu?
Ok kuna uzi wameyaorodhesha hayo mabadiriko?niyapitie na mmKuna mabadiliko JF
florentino perez ana muda mrefu sana hajafungua pochi lake kwa dhumuni la kutafuta galacticos, hawawezi kuziba nafasi ya ronaldo lakini ni lazima madrid watahitaji wachezaji takribani wawili wenye uwezo wa kuwapa magoli 40 kwa msimu kazi ambayo alikuwa anaifanya cristiano ronaldo peke yake.Mane, 26, yupo kwenye orodha ya wachezaji wanaosakwa na Real Madrid kwa ajili ya kunaswa kwenye dirisha lijalo la usajili huku mastaa wengine wanaosakwa kwenye timu hiyo ni Kylian Mbappe, Eden Hazard na Paul Pogba.