Kwema kijana wangu?
Uwe na amani ya kutosha, mimi sio wa hivyo,nimekuwa kwenye utani tangu utoto wangu maana nimekulia kwa bibi na wajomba zangu.
Chanzo cha kuzoea kutaniwa ni majina yangu na matumizi ya mashoto,mbaya zaidi naendelea kutaniwa hadi uzeeni ni vile muundo wa kichwa changu upo kama yule nani hii au hilo lisamaki [emoji3][emoji3][emoji3]
Hiyo komenti inayo ongelewa humu(ya mwaka jana mwishoni) haikuhusiana na utani wa fenesi, watu waliamua/waliielewa vibaya japo nikaitolea ufafanuzi. Wapo walio kuja PM, nikawafafanulia kinacho nisibu.Bila kuingiza utani humu huu uzi usingefika hapa wala watu tusingezoeana kiasi hiki.
Kiufupi mdogo wangu alitia guu na uwepo halisi, maandiko yake yalikuwa ya hovyo tofauti na muonekano wake, bro alipoguswa akaniangushia mimi... acha...
Sipendi matusi, napenda sana kucheka, nafurahia utani. Wiki mbili zilizopita ndio nimegundua nilikuwa kwenye utani na baba mkwe wangu (RIP) bila kutegemea, niligundua baada ya kuifungua simu yake na kukutana app ya Jf...
Mnisamehe sana wote nilio wakwaza kwa komenti ile japo ukiisoma vizuri mwandiko wake una matege fulani hivi...
Samahani sana
SHIMBA YA BUYENZE maana wewe ndiye ulikuwa muathirika wa moja kwa moja maana niliku "kwotua" na pia
Pyaar unisamehe [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]