Niseme na nilisha kusifia kwa kuweka misingi ya kuheshimiana humu, ulikataza lugha ya matusi,uliweza kumdhibiti Allen kwa post zake mwanzo kabisa mwa uzi ukishirikiana na ISIS.Anko wewe muungwana sana. Mie fan wako nambari moja na wala sijaona tatizo lolote. Nimependa maelezo yote hadi nimekuonea wivu kuivumbua ID ya baba mkwe(R.I.P)japo sifahamu alitacha lini
Sawa, huku tunaita zambarauUsukumani kuna matunda yanaitwa nhundwa. Yanafanana na haya. Ni matamu sana...
Guy Fawkes..
Hapa kwenye uzi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa ntakupa mchongo..kuna kaka mmoja hivi anavaa glasses..
Yes yupo humu..ntakupa details zake baadaeHapa kwenye uzi?
Duh nina ka kichwa kadogo ka kusahau mambo,shukran kwa kukumbuka. JF hii wadau wanatutoka bila kuwa na taarifa..ndio maana siku hizi nimepunguza ligi nisije tukanana na wazazi wangu humu kisa anonymous foreverNiseme na nilisha kusifia kwa kuweka misingi ya kuheshimiana humu, ulikataza lugha ya matusi,uliweza kumdhibiti Allen kwa post zake mwanzo kabisa mwa uzi ukishirikiana na ISIS.
Huyu mwana Jf mzee alitutoka 28feb
Ubuyu huuYes yupo humu..ntakupa details zake baadae
Nasubiria...Yes yupo humu..ntakupa details zake baadae
Niseme na nilisha kusifia kwa kuweka misingi ya kuheshimiana humu, ulikataza lugha ya matusi,uliweza kumdhibiti Allen kwa post zake mwanzo kabisa mwa uzi ukishirikiana na ISIS.
Huyu mwana Jf mzee alitutoka 28feb
To simply say that Masoud is a gifted individual is an understatement: Masoud is highly blessed.
.....Mkuu maandazi kama haya?....Yap...Nimekula sana maandazi na visheti vya watu. Lete tu mchongo usiogope [emoji16][emoji16][emoji16]