Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vigogo wengi wametapelewa huko,Tapeli nambari wani mzee yule. Halafu akaweka bei ya chini ili awakamate vizuri
Pole pole basi mkuu dah !!!
Nchi nzima tulifanyiwa kampeni tuamini ndoto za huyo mchungajiTapeli nambari wani mzee yule. Halafu akaweka bei ya chini ili awakamate vizuri
Mtoto akililia wembe mpe[emoji16][emoji16]Uonevu...
Akitokezea ntakupa kazi... sh ngapi unachaji vile?Nasubiria...
KaTECNO kapya kapya hivi kanatosha. Hata kama ni toleo la zamani [emoji16][emoji16][emoji16]Akitokezea ntakupa kazi... sh ngapi unachaji vile?
asipotokezea basi