Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

EPL inahitaji sana VAR Jana nimeshuhudia Manchester United japo ni Fan wao walipewa Goli la offside ya wazi kabisa
Leo pia hivyo hivyo Chelsea wamefunga Goli la offside wachezaji wawili walikuwa wamezidi
 
Duh nina ka kichwa kadogo ka kusahau mambo,shukran kwa kukumbuka. JF hii wadau wanatutoka bila kuwa na taarifa..ndio maana siku hizi nimepunguza ligi nisije tukanana na wazazi wangu humu kisa anonymous forever
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sikuamini ankoo... Halafu kwenye mambo ya siasa.
Mungu atusaidie tuwe na kumbukumbu ya kuomba radhi kila mara maana viungo vyetu sio vitimilifu.Mambo ya humu unaweza kumuumiza mtu bila kudhamiria.

Ankoo nimepata kabinti kwa matumizi ya "nao nao" kana "vindulelee" acha kabisa... Yaani kama huyu
 
Anko siasa huwa nabip ndo maana leo utanikuta ccm,kesho cdm,kesho yake act ili mradi nichokoze watu

Tatizo sijuagi kuomba radhi daah pride za bwana jiwe hizi tumezirithi kwa pupa

Twa hivyo tutundu sana,chukua haka ka fish kakusaidie saidie hata sijui kasaidie nini[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata hivyo, Messi imedaiwa kwamba amemwondoa Ronaldo si kwa sababu kwamba hamtambui kuwa ni Mreno huyo ni mmoja wa wachezaji bora duniani, lakini ni kwa sababu anamwona yupo kwenye kiwango kingine kabisa tofauti na wengine.
 
Akimzungumzia staa huyo wa Juventus, Messi alisema: "Ilikuwa kitu kizuri sana kuwa na Ronaldo kwenye La Liga kutokana na ile thamani aliyoileta. Bila ya yeye na mimi, wachezaji bora duniani wangekuwa Mbappe, Hazard, Suarez, Aguero na Neymar."
 
Uhamisho wa Ronaldo kwenda Juventus mwaka jana kumemaliza ile vita ya msimu kwa msimu kwenye La Liga dhidi yake na Messi, lakini wawili hao wanaweza kukutana kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…