Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu hili suala hili suala la mwenge wa kulaumiwa amelala kule Butiama na mwingine ni yule Mzee Ganze. Hawa wengine waliofuata walikuta tayari nchi na watu wake washarogwa.
Mkuu Kulogwa kisha kukaa na uchawi kwa miaka zaidi ya 58 ni jambo gumu.
Nadhani hawa wa sasa huu Mwenge wautazame kwa makini, unatupotezea muda na kulitia hasara Taifa
 
Mademu wanajiongeza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16], hivi walikua wapi siku zote?
"Usumbufu umekuwa mkubwa kutoka kwa wadada maana sasa hivi napokea meseji nyingi kupitia Instagram, na kila mmoja ananieleza ametokea kunipenda anaomba niwe naye jambo ambalo kwangu wanatakiwa wasahau kabisa kunipata”. - Bondia Hassan Mwakinyo,
 
Naunga mkono kwa kiasi furani.
Kama binadamu Mwalimu amefanya makosa ambayo wao walipaswa kuyasawazisha, lakini kuyaendeleza makosa yake ni kosa letu sisi tuliopo sasa
 
Hahahahaha.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…