myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!Guu guu ng'wanawane [emoji7][emoji7][emoji7]
View attachment 1059525
JiraniJirani yangu, vipi uko mitaa hii nini? Nakuona unamwaga likes tu wakati mitaa ya kati ni night kali! [emoji1][emoji1]
Jirani
Tukutane tu jirani tukapate supu ya pweza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tuambizane jirani, kama vipi tukutane New Zahir Restaurant! [emoji1][emoji1]
Tukutane tu jirani tukapate supu ya pweza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jirani vipi[emoji16][emoji16]Duu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo jirani New Zahir siyo habari tena, utawala wake umetoweka.Duu! [emoji23][emoji23][emoji23]
Shukrani Numbisa
Na hapa
Maboresho ya JF - 2019
Wakuu, Naomba kuwafahamisha kuwa siku si nyingi tutafanya maboresho kidogo kwenye mwonekano na matumizi ya JF. Lengo ni kuzingatia mahitaji ya wadau (ambayo yamekuwa yakiombwa), kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia na kuimarisha zaidi uimara wa platform. Aidha, maboresho hayo yataenda hadi...www.jamiiforums.com
ningendako
Hata hivyo jirani New Zahir siyo habari tena, utawala wake umetoweka.
Habari kwa sasa ni "Chefs Pride" pale mtaa wa Chagga.
New Zahir imevurugwa na Sharrif
HahaWhai? Umeamriwa uondoke Mwanza kwa nguvu ama?
Nice songSandra's rose