* Fisi wakikosana kwa kuibiana chakula au dume, na kwa bahati mbaya mmoja awe Mdogo, hupigana mpaka Mdogo kufa, na kama wapo sawa mnyonge hukimbia, wakati huo dume hubaki likishangaa tuu na kushindwa lianzie wapi.
Usisubutu kumvizia fisi kwa nyuma, namna pekee ya kujirinda hurusha kinyesi chake kwa ghafla na atakuacha ukiwa umechanganyikiwa huku yeye akikimbia.