Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenye timu yakie ya taifa ya wakubwa amecheza mechi 125. Sambamba na hilo amedaka kwenye klabu nyingi sana za England, zikiwamo za Nottingham Forest, ambako alibeba ubingwa wa ligi, makombe mawili ya Ulaya, Uefa Super Cup na Kombe la Ligi.
 
Hivi ndizo timu alizocheza Shilton na mechi zake kwenye mabano; Leicester City (348), Stoke City (121), Forest (272), Southampton (242), Derby County (211), Plymouth Argyle (43), Bolton Wanderers (2), Leyton Orient (10), England u-23 (13) na England (125).
 
Kwenye kipindi cha mechi za kimataifa mastaa kibao wanaotamba kwenye klabu zao waliitwa kwenye timu za taifa kuzitumikia na kuleta mvuto kwa mashabiki kufuatia mechi hizo za kimataifa kwa ajili ya kuwatazama mastaa wao wanaowashangilia kila wiki kwenye klabu zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…