Hapana Msukuma ushamba wake upo juu na utabaki kuwa juuu zaidi...Kwamba ushamba wa msuku ni sawa na wa mnyaki?!!! [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] haki ya nani umetuchoka.
Fyatua tu utuletee ujukuu kijana wangu shule ni bure.
Tumetuma maombi ndio tunasubiri yafanyiwe kaziBadilisheni Tittle ya Thread maaana hamna tena like sasa hvi
Amin. Binadamu haki yetu ni kwa kila kitujiacho kwa kheri[emoji120][emoji120]Hapana Msukuma ushamba wake upo juu na utabaki kuwa juuu zaidi...
Muda ukifika utajua tu maana mtoto ni Jambo jema sana
Amina inshallah!!🙏Amin. Binadamu haki yetu ni kwa kila kitujiacho kwa kheri[emoji120][emoji120]
Inshallah atupe kheri
Ndiyo hivyo kiongoziHivi hilo neno "marikiti" linatokana na neno market?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1060957
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tunagonga likes, kwani kuna nini?Hivi kuna wenzetu bado mnagonga likes? Mbona sisi wengine tumeanza kugonga Thanks Leo....
Hahahahahaahaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo,mzee wa pwani na wenzako wote wa pwani shwaini zenu...
Kuna thanks mkuu, yani ile option ya like imetolewa wakaweka ThanksTunagonga likes, kwani kuna nini?
Uvinza uvinzani kwenye chumvi yenye chumvi chumvi [emoji16][emoji16][emoji16]