Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ndiyo. Limetoka katika Kilatini (mercatus) likapita katika Kifaransa cha zamani (marché) hilo likachanja mbuga mpaka kwenye Kiarabu (markit) na walipokuja wakaliacha huko visiwani (markiti) japo huku bara tunatumia soko...Hivi hilo neno "marikiti" linatokana na neno market?
Kiswahili ni chao na wengi wao ni lugha mama. Umewaonea kuwashwainisha japo wanazidisha mbwembwe sometimes. Shwaini zao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni hivyo,mzee wa pwani na wenzako wote wa pwani shwaini zenu...
Eeh Sanaa ya upigaji dekiUvinza uvinzani kwenye chumvi yenye chumvi chumvi [emoji16][emoji16][emoji16]
Mikato Kama hii ndio bro wangu SHIMBA YA BUYENZE haielewi kabisa
Njoo hapa Isamilo nikupe kakiwanja ujenge utulie kijana. Mahangaiko ya nini? Huwezi kukikimbia kivuli chako. Kutoka pwani na kuja kukwama Mwanza kwa washamba unafikiri ni koinsidensi? Ai donti thinki so [emoji16][emoji16][emoji16]Hapana Msukuma ushamba wake upo juu na utabaki kuwa juuu zaidi...
Muda ukifika utajua tu maana mtoto ni Jambo jema sana
Huyo ni mtu mzima kwani? Nilifikiri mtoto...Mikato Kama hii ndio bro wangu SHIMBA YA BUYENZE haielewi kabisa
🤣🤣🤣🤣Njoo hapa Isamilo nikupe kakiwanja ujenge utulie kijana. Mahangaiko ya nini? Huwezi kukikimbia kivuli chako. Kutoka pwani na kuja kukwama Mwanza kwa washamba unafikiri ni koinsidensi? Ai donti thinki so [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1061102
Tunda limeiva hilo na linaelekea kuoza broHuyo ni mtu mzima kwani? Nilifikiri mtoto...
Aisee... Zanzibar nilitoka patupu kwa hilo neno.Ndiyo. Limetoka katika Kilatini (mercatus) likapita katika Kifaransa cha zamani (marché) hilo likachanja mbuga mpaka kwenye Kiarabu (markit) na walipokuja wakaliacha huko visiwani (markiti) japo huku bara tunatumia soko...
Kiitalia ni mercato, Kiingereza ni market, Kihispania ni mercado, Kidachi ni markt na Kijerumani ni Markt. Mzizi ni ule ule japo kuna tofauti za hapa na pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kiswahili ni chao na wengi wao ni lugha mama. Umewaonea kuwashwainisha japo wanazidisha mbwembwe sometimes. Shwaini zao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]