Jamaa kamwagiwa povu la kutisha[emoji16][emoji16]Jf uwanja wa fujo
Pipi ya kijiti[emoji16][emoji16]Ubuyu?
hiyo haimung'unywi
Utaondokaje kwa mshahara huo, ingekuwa mimi nakaa tu benchi kiroho safi ili mradi nilipwe donge langu[emoji16]Kumekuwa na tetesi huenda akaondoka Arsenal japo mwenyewe amekuwa akisistiza haondoki klabuni hapo.