Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tulia weuweeeNamna gani Wolves hapa! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Tulia weuweeeNamna gani Wolves hapa! [emoji1][emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Tulia weuweee
Mwendo ule ule, na hiyo ndiyo mada yenyewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Usiku wa kulamba pipihiyo haimung'unywi
Naona hautaki kujila.Na mimi hivyo hivyoIkurudie kiongozi wangu.
Huyo mzee alikuwa anakauli za kibabe sanaBerlin is a testicle of the West, if a want the West to scream i just squeeze on Berlin - Nikita Khrushchev
Kuna siku limeenda UN likaanza kubamiza kiatu chake juu ya meza kupinga watu wa magharibi wanavyoongea.Huyo mzee alikuwa anakauli za kibabe sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, braza tutafanyaje sasa!Naona hautaki kujila.Na mimi hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106]Siyo huku Afrika aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1061511
HahahaaaaaaSiyo huku Afrika aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1061511