MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,893
hutaki kuwa juma kapuyaDini haijawahi kuwa kizuizi kwangu kabisa mkuu, sema umri tu ndiyo umeenda. Haya mambo ya kurukaruka na vibinti tumewaachia vijana sasa
He did it again [emoji16][emoji16]
Yule kamanda kauzu sana, mimi nimeamua kulea watoto kwa kipindi hiki, mengine yatanivuruga tu. Daah ila comrade Kapuya simmalizi kabisa ana maamuzi mazito sanahutaki kuwa juma kapuya
hahahahaaaaaa
nilifikiri suala la imani, si unajua huku kwetu watu wengi tunawachukulia watu wa upande wa pili kama ni watu wasiokuwa na chembe ya imani kuanzia dini, siasa hadi matendo.Dini haijawahi kuwa kizuizi kwangu kabisa mkuu, sema umri tu ndiyo umeenda. Haya mambo ya kurukaruka na vibinti tumewaachia vijana sasa
Heshima kwako Ami
Kapuyanga yuko kwenye balehe ya pili[emoji1][emoji1]Yule kamanda kauzu sana, mimi nimeamua kulea watoto kwa kipindi hiki, mengine yatanivuruga tu. Daah ila comrade Kapuya simmalizi kabisa ana maamuzi mazito sana
Nimelishuhudia sana, sema nililifahamu mapema na sikutaka kabisa kuzua mtafaruku wa namna hiyo na wenyeji wangu: Kiufupi hilo liko kwenye kila dini ndugu yangu.nilifikiri suala la imani, si unajua huku kwetu watu wengi tunawachukulia watu wa upande wa pili kama ni watu wasiokuwa na chembe ya imani kuanzia dini, siasa hadi matendo.
katika kukaaa kwako na baadhi ya wazanzibari hujawahi kushuhudia situatiaon kama hizo?
Prof anapenda totoz aisee.....Kapuyanga yuko kwenye balehe ya pili[emoji1][emoji1]
Prof inamuhusu hii..Prof anapenda totoz aisee.....
Sasa kale kabinti si katampa stress tu.