Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huu ni ubuyu wa ndani ndani sasa. Kinasagwa ndo maana mama imebidi awe mbogo mpaka kutoa mkong'oto?
Tatizo wema akinogewa na penzi anataka kila mtu afahamu jambo ambalo linamuumiza sana mama ake. Just imagine hapo anapoishi anafuga mashoga(gays) na huyo diana.na hao ndio washauri wakubwa wa wema.
 
Tatizo wema akinogewa na penzi anataka kila mtu afahamu jambo ambalo linamuumiza sana mama ake. Just imagine hapo anapoishi anafuga mashoga(gays) na huyo diana.na hao ndio washauri wakubwa wa wema.
Sad. Ndo maana masikini pamoja na kuwa na potential kubwa amebakia tu kuwa mtu wa hivi hivi. Angeenda global kama akina Matata na wengineo angekuwa na maono. Ila ndo maisha yake hayo aliyoamua.
 
Me nilifurahia mchezo wa Wolves. Tumepigwa lakini ni mwanzo mzuri wa kutambua udhaifu wa team yetu pia. Wolves wanaishi spirit yao na ni wakali mno!!
Washabiki wa timu mnanifurahishaga sana. Mkishindwa huwa hamkosagi visingizio vya kujifariji. Eti mwanzo mzuri wa kutambua udhaifu. Mmefungwa bro [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aseee, hivi huyo Diana anapigika katulia tu, basi aende hata Polisi
 
Kuna wakati inawaka na kujizima yenyewe hata mara sita non stop. Au inaweza kuanza kupiga skrinishoti tu bila sababu. TECNO ina vituko sometimes ila ukiizoea ni sawa tu...Can't wait until the end of the year [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni vile bado natafakari mateso yako, usijali Bro mwakani siyo mbali.
 
Sad. Ndo maana masikini pamoja na kuwa na potential kubwa amebakia tu kuwa mtu wa hivi hivi. Angeenda global kama akina Matata na wengineo angekuwa na maono. Ila ndo maisha yake hayo aliyoamua.
Umeona ee miaka nenda rudi yeye bado anajiona mtoto,akipata hela zinaishia kulisha hicho kikund chake. Hana hata biashara ya pipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…