Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Timu hizo mbili zinakutana katika mchezo huo zikiwa na rekodi mbili tofauti Borussia Dortmund imekalia usukani wa ligi baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Wolfsburg, huku Bayern wakidondosha alama mbili baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini kwa Freiburg.
 
Dortmund watataka kujifunza kutoka kwa Liverpool wanaofundishwa na kocha wao wa zamani Jurgen Klopp ambaye aliwafunga Bayern wiki tatu zilizopita katika uwanja wao wa nyumbani Allianz Arena na kuwatoa katika hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
 
Wachezaji wa Dortmund wanaenda Allianz morali yao ikiwa juu baada ya ushindi wa dakika za majeruhi walioupata wikendi iliyopita dhidi ya Wolfsburg, shukrani kwa mabao ya Paco Alcacer dakika ya 90 na 94.
 
Hakuna mtu aliyetegemea Bayern watadondosha alama dhidi ya Freiburg na sasa tunaongoza ligi hatutakiwi kubadilika. Tutaenda Munich na morali hii na tutafanya kila tuwezalo ili tushinde”
 
Bayern Munich na Borussia Dortmund wanakutana kwa mara 100 Jumamosi hii na katika kuadhimisha uhasimu wao watabadilishana jezi zao, Bayern wakivaa sare za njano huku Dortmund wakivaa sare nyekundu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa yuu Ankoo[emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…