Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Manchester United huenda ikawaachilia wachezaji sita kuondoka katika klabu hiyo mwisho wa msimu huu wakati timu hiyo ikijiandaa kumuunga mkono mkufunzi Ole Gunnar Solskjaer katika soko la uhamisho.
Hatahivyo mipango yao inakanganya kuhusu hatma ya kiungo wa kati Ander Herrera, Juan Mata na Alexis Sanchez.
Solskjaer ataamua iwapo Sanchez ataondoka lakini mshahara wa mshambuliaji huyo huenda ukawazuia wanaomuhitaji.
Wamlipe fungu lake nene kisha wavunje mkataba, otherwise waendelee kumlipa akikalia bench.
Biashara kichaa
 
Muchacho's
FB_IMG_1554459214693.jpeg
 
Back
Top Bottom