Muda wa kuswali,katuombee
..Hali wali mkavu.Mgaagaa na upwa....
dah! wamemkatiza maisha mapema mno...
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Yaani nimekuja ndo wote mmetawanyika kwenda kulala?
Anyway. Nimetimiza ahadi kwa kugonga likes kibao mpaka vidole vimeniuma. Kama kuna mahali nimekuruka kwa siku ya leo sema nirudi nikaendeleze fujo [emoji16][emoji16][emoji16]
Poamambo vipi
.Aliyemchukua carbamazepine aje anibebe na mie
Ruyangwaaa...
.A Deadly encounter with one of the deadliest jelly fish...Anakuchora chora hivi halafu baadaye mguu unaoza...
View attachment 1062811
ShaabashTuliza boli...today is your lucky day...
View attachment 1062818
Lakini ni chakula piaAisee,,kuna viumbe wa hatari sana na sumu kali sana hapa duniani