Ndugai atamkumbuka zaidiMkurugenzi wa Vituo vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa Afrika vya Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, Dk Mwele Malecela amesema Mdhibiti Mkuu na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali, Prof Mussa Assad, ni kati ya watu ambao histori itawakumbuka kama mtu wa heshima Tanzania.
Sanchez, ndiye mchezaji ghali analipwa Pauni450,000 kwa wiki lakini ameshindwa kuonyesha kiwango cha kumshawishi kocha kupata namba ya kudumu kikosini.
.Mchezaji huyo pamoja na kushindwa kumshawishi kocha, kumekuwa na ugumu wa kumtoa kwa mkopo kutokana na fedha anayolipwa kuwa ndefu.