Ndo maana nafurahigi sana MU yake wakipigwa na Ole Gunnar wao...Esta ni mpenzi wa baadhi ya bolingo za kikongo
Waiwekee umeme na hii...
Mmeanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi viwanja ni kule kwa Waarabu next world cup ama?
Aikaeli mzee wa anga
Ni viwanja vya baadhi ya tim kubwa barani ulaya.Hivi viwanja ni kule kwa Waarabu next world cup ama?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mmeanza [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ubunifu wa hali ya juu.Waiwekee umeme na hii...
Nimeligundua hilo baadaye nilipoona uwanja wa wachovu wa Livapuu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Lakini ni salama? Naona kuna dogo juu huko ghorofani anapunga upepo bila wasiwasi