Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wengi wetu (hasa wanaume) tunapuyanga tu huku tukiwa wagonjwa. Kwenda kwenye annual physical exam hatutaki mpaka tuumwe ndiyo tunatia mguu hospitali; na mara nyingi inakuwa too late.

Kwa hali ya sasa mwanaume ukishavuka miaka 35 hakikisha unajua kama vitu hivi viko sawa:

Presha
Sukari
Moyo
Figo
Ini
Prostate
Lehemu

...na mengine madogo madogo. Miaka hii pia ni kawaida kuanza kupaniki kama malengo uliyojiwekea hayajafikiwa na ni rahisi kujikuta unatumbukia katika msongo wa mawazo (depression). Michezo, kuwa na active social life na kujifunza maarifa mapya kunasaidia sana.

Sasa sisi mtu anavuka 35/40 ndo kwanza anahangaika na michepuko, pombe kwa wengi na stress kibao. Wanaume tunateketea sana and something has to change kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…