gemplatnumz
Senior Member
- Jan 24, 2017
- 133
- 371
Dawa ya Jino bovu kung'oa.Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni
Niliziba jino miaka mitatu iliyopita, kama week tatu hivi zilizopita likaanza tena kumeguka zile sehemu zilizokua zimezibwa, baada ya siku kama tatu likaanza kuuma, nikaanza kutumia dawa za asili ambapo nyingi nilisoma humu. Nimetumia: Mdarasini, mu alovera, karafuu, majani ya mpera, mu...www.jamiiforums.com
Bora aondoke sasa maana habari zake zimetuchoshaMshambuliaji wa Chelsea mbelgiji Eden Hazard, 28,anajiandaa kutia saini mkataba wa kujiunga na Real Madrid siku chache zijazo. (Marca)
Star huyu wa Argentina asiye na mbwembwe wala majivuno, namtakia heri kwenye maisha yake ya soka.Rais wa Barcelona Josep Maria Bartomeu anapanga kufanya mazungumzo na nyota wa klabu hiyo Lionel Messi kurefusha mkataba wake katika klabu hiyo.
Mkataba wa Messi unakamilika mwaka 2021. (ESPN)
Wale waliozoea kuokota mizoga wasogee [emoji16][emoji16][emoji16]VIGOGO wa huko Ulaya wamepagawa baada ya kusikia Juventus imepanga kupitisha panga kwa wachezaji 11 mwishoni mwa msimu huu ili kusafisha njia ya kunasa mastaa wengine.
Duh !!!
Wana sema Saturdays are for no bras 😎Duh !!!
Nude beach?