Huyu mbona kama anafanana na huyo dogo kwenye Avatar
Hata mie naona.. Messi kakufurahisha ee?
Hahahahahahaha[emoji16][emoji16][emoji16]mmenifurahisha
Duuu una timu tatu? [emoji16][emoji16]Wiki hii ngumu(huku man u,humu r madrid bado yanga na droo) hii hongera ya nini mkuu?
Haiwezekani,Huyu mbona kama anafanana na huyo dogo kwenye Avatar
Anachekesha huyo [emoji16][emoji16][emoji16]Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni
Niliziba jino miaka mitatu iliyopita, kama week tatu hivi zilizopita likaanza tena kumeguka zile sehemu zilizokua zimezibwa, baada ya siku kama tatu likaanza kuuma, nikaanza kutumia dawa za asili ambapo nyingi nilisoma humu. Nimetumia: Mdarasini, mu alovera, karafuu, majani ya mpera, mu...www.jamiiforums.com
LipsHaiwezekani,
Mh njoo na Id yako ile ingine
Maoni gani tena? Alichagua kuishi maisha yake hivyo. So is Da Vinci japo wote wanatuhumiwa kuwa walikuwa mapunga...Inaaminika kuwa, mpaka anafariki Mwanasayansi Isaac Newton hakuwahi kukutana kimwili na mwanamke yoyote yule. Alifariki mwaka 1727 akiwa na miaka 84 ikiaminika bado bikira.
Toa maoni yako
Source: History News Network