Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata ujastifai vipi bado ni uzembe [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Mkuu Ngwilimi siku hizi anaunga mkono juhudi za Raisi. Ilifika hadi akaamua kusema bayana kwamba wanasheria wa Serikali ni lazima waunge mkono juhudi za Serikali na kutekeleza ilani ya chama tawala.

Yeye na Kabudi walikuwa ni watu ambao wameipinga sana TLS chini ya Karume. Hadi wakafikia kipindi wakawa na mpango wa kuanzisha chama cha wanasheria wa serikali kama mbadala wa TLS.
 
Haifunguki ankoo, ulikuwa ubuyu nini? Mdomo unaniwashaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh!


 
Kutana na TAPELI wa firushi vya Mitandao 0625909537 anasema kule insta kuna tapeli anajitangaza page maarufu,anatumia namba hio,huyu jamaa anajitapa kukuunga mitandao ypte GB hadi dakika na sms ila ukimtumia pesa imekula kwako
Haifunguki ankoo, ulikuwa ubuyu nini? Mdomo unaniwashaje [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha anko bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…