Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

 
Habari wakuu.

Nimeona nilete kisa hiki huku Jukwaani tujifunze zaidi.

Ilikuwa ni March kule jukwaa la wakubwa nilipost content fulani ya kikubwa ikiwa na title "Viuno Kidogo" baada ya siku kadhaa akaja jamaa PM akiniambia kuwa nimpe namba ya whatsapp anahitaji nimtumie hiyo clip kwa urefu zaidi, nikamuambia ok hakuna shida, nikampa namba ya whatsapp tukachart kidogo akaomba nimtumie hiyo video, nikamuambia nitamtumia baadae nikiongeza bundle, ghafla "Imethibitishwa HDKDNND6#JS Umepokea shilingi 10000 kutoka kwa *****" (Sitomtaja kumstahi maana ni member mkongwe hapa JF) Nikashangaa kwanza ila nikaona ngoja niunge bundle nimtumie basi jamaa nikamtumia tukamalizana, basi kuanzia hapo ikawa ni usumbufu jamaa anatuma sms kila mara, mara nitumie picha yako unaishi wapi n.k, nikasema anyway ngoja tufahamiane nikamtumia picha na yeye akatuma, nikamwambia mimi jobless graduate sina kazi nipo Mwanza, yeye akasema yupo Arusha, Mimi miaka 25 yeye miaka 40

Basi chatting zikaendelea tu polepole kuchat kama washkaji, tukio la kwanza lilipokuja kunishangaza aliponiomba picha za uume wangu! Nilishangaa ukizingatia kariba yake na sijawahi kutana na mwanaume anayeomba picha za tupu ya mwanaume mwenzie, Nikiwa katika uhakikisho wa kufahamu huyu mtu ana shida gani! Nikadownload picha nikatuma, kutokea hapo jamaa akawa anasifia sifia uume, huo, mara anisifie sifie bila mpangilio. Nikapata shaka sana kama huyu anaweza kuwa ni mwanaume au shoga. Kuna siku akawa ananilazimisha nimtakie I love you, nikamuambia siwezi, maana siwezi kumtamkia mwanaume mwenzangu hivyo, ikumbukwe kuwa mtu huyu nilikuwa ninamuonesha heshima maana amenizidi mbali kiumri, hivyo akikosea namtunzia tu heshima yake.

UTATA ULIPOKUJA

Siku si nyingi ametoka Arusha kuja mwanza kikazi, akaomba tuonane nikamwambia sawa hakuna shida, basi nikafanya harakati zangu usiku mida ya saa 2 tukakutana Flex Bar, katika kukaa kwangu pale nikawa ninamsoma kuna ishara alizokuwa anazionesha, ambazo si nzuri akaniambia kuwa anataka kwamba tukalale chumba alichochukua yeye, nikamuambia kuwa siwezi niko na mwanamke usiku wa siku hiyo, jamaa alichukia sana nikamuuliza kwani ni lazima tulale chumba kimoja? Akasema kuwa alikuwa amepanga hivyo na alikuwa amepanga kulala na mwanamke usiku huo ila ameghairi kwa ajili yangu?! Nikamuuliza kuwa kwani mimi ni mbadala wa mwanamke wako? Kumbuka hapo tunawasiliana kwa message maana meza ilikuwa na watu kama sita na mziki mkubwa

Baada ya kuona kuna hali fulani ya hatarishi nikamuomba hayo maongezi tunayohitaji kuongea huko chumbani usiku tuyaongee hapohapo hata kama ni saa nane nitaenda huko kwa mwanamke maana siwezi kumuacha peke yake, akawa analazimisha tukalale tuongee huko nichukue na movie! Nikamuambia its ok nilikuwa nimemuambia nahitaji movie kutoka kwenye laptop yake ila baada ya kuona mambi yasiyoeleweka nikagoma.


Basi akanivuta pembeni tuongee maana pale kulikuwa na rafiki zake, tukazungumza nikamwambia siwezi kwenda huko, basi akarudi mimi nikabaki naongea na simu maana iliita nikiwa na jamaa, yeye akawa ameondoka kurudi ndani, nilipomaliza kuongea na simu nilirudi ndani nikakuta amebeba laptop yangu na kuondoka nayo, kumpigia ananiambia niifate alipo kule hotel, ikabidi nimfate dereva wake nimueleze kisa kizima maana yeye alimpeleka halafu akarudi hapo flex, alishangaa sana ilibidi nimuombe msaada anipeleke pale nikaichukue laptop yangu, akasema kuwa akienda pale atachafua hali ya hewa maana wanafanya kazi kampuni moja, ila alinisaidia kumpigia simu jamaa akasema ataiweka reception( kwa aibu ya dereva wake) basi dereva wake akanisaidia nauli ya kufika kwenye hotel, nikaingia reception nikaichukua nikaondoka( Shukrani kwa dereva isingekuwa yeye nisingepata laptop yangu)

Najua wewe jamaa utauona huu uzi, nilikukwepa kwa utaratibu tu ila ukaamua kuleta fujo, lazima watu wajue kuwa watu kama wewe mpo.

Nimezingatia misingi ya utu wa huyu jamaa siwezi kumtaja nimekuwa ninamuheshimu kwa sababu amenizidi umri sana, kaoa na ana watoto wanne, ila tabi
 
Aiseee. Nilikuwa sijui. Nilidhania bado kamanda. Itakuwa anautafuta ujaji labda.
 
Kutana na TAPELI wa firushi vya Mitandao 0625909537 anasema kule insta kuna tapeli anajitangaza page maarufu,anatumia namba hio,huyu jamaa anajitapa kukuunga mitandao ypte GB hadi dakika na sms ila ukimtumia pesa imekula kwako

Hahahaha anko bana
Hawa washenzi walishampiga bro wangu 50K Ningendako eti wanamuwekea bando la chuo la kudumu kumbe uwongo. Washindwe na walegee [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nilitaka nikuwekee umeniwahi. Ubuyu mkali. Jamaa alimtaja mhusika kwenye skrinishoti kwa bahati mbaya japo nilichelewa. JF hapa kazi kweli kweli. Ni bora kuwa ngangari kama chuma cha Mjerumani aisee. Panatisha !!!
 
Jamaa naye haeleweki. Wewe dume mwenzio eti anakuomba picha za dushe lako na unamtumia. Something is not right. Hawa ni mashoga wametibuana tu...
 
Nimezingatia misingi ya utu wa huyu jamaa siwezi kumtaja nimekuwa ninamuheshimu kwa sababu amenizidi umri sana, kaoa na ana watoto wanne, ila tabia zake sizo, vijana tuwe makini kuna watu wazima hawajiheshimu

UPDATE 1: umdhaniaye ndiye kumbe siye! Waweza kaa na mtu na usijue maana hata dereva wake alishangaa hakuamini.

Huyu jamaa niliwahi kumuuliza kama ni shoga akakataa katakata na story zake masaa 24 ni kugegeda! Na ninakuambia kuwa huwezi kumdhania! Huwezi kabisa kumdhania maana si mtu wa kufanana na hayo mambo, kumbe hafai, Haikufanya nimshitukie kama ana matatizo, aliniomba mpaka nimuunganishie na wanawake walioko mwanza akija alale nao, cha ajabu alimchenga mwanamke huyo alipofika mwanza! Hapo ndipo mashaka yangu juu yake yalipodhihirika.

UPDATE 2: Mimi ni mwanaume rijali kabisa, sina matamanio na jinsia kama yangu, na post zangu ziko kule jukwaa la wakubwa nikifanya mambo yangu, wajumbe wa vikao vya kule wanafahamu! sikuvutika na mchezo wa jamaa na wala sitavutiwa mchezo wa laana kama huo!
 
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…