Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16]Ugumu wote kushney.. mpaka flowers..kumbe upo romantiki..
Hivi kumbe hukajui kapoti wewe. Be careful. Ukija kushtuka vu bin vuu haka hapa na maua, mvinyo na makorokocho kibao. Halafu hakoo mbio kwenda kujificha kwenye ugumu feki. Huku raia wanabakia kusema ukiona manyoya....[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ni kweli Mkuu hawa dhalimu watenda maovu wanadhani wataweza kujificha daima nyuma ya vitisho vyao huku wakiendeleza dhambi zao dhidi ya raia wanasahau iko siku isiyo na jina wananchi watasema LIWALO NA LIWE hiyo siku ndiyo nchi itawaka moto dhidi ya hawa dhalimu.

Mkuu kama taifa tunapaswa kujifunza, vipigo vya kuchakaza havijawi kuwatisha raia walioamua.
Mifano ni mingi mno, kakini ya karibu zaidi ni hapo Misri na Tunisia.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe hukajui kapoti wewe. Be careful. Ukija kushtuka vu bin vuu haka hapa na maua, mvinyo na makorokocho kibao. Halafu hakoo mbio kwenda kujificha kwenye ugumu feki. Huku raia wanabakia kusema ukiona manyoya....[emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Sifa kuu ya poti wako ni UGUMU! Hayo mengine ni mbwembwe tu! [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Men tunakufa haraka sana...Na wanawake mnachangia sana kwa steresi zenu zisizo na sababu...
Aisee hata hili pia sababu ni wanawake ukweli ni kwamba nyinyi mnakaa na vitu vingi kwenye moyo jumlisha akili tofauti na wanawake tukitoa machozi tunapunguza sumu moyoni,pia mnafanya kazi za hatari tofauti na wanawake n. K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…