capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Oohw .. Ahsante sana Bro. Nmekuelewa!!Ni wale wenye Full Technician Certificates katika nyanja tofauti za ufundi. Mfano Electrical, Mechanical, Electronics and Telecommunications, Civil Eng na nyinginezo!
Ukisha kwaruzana na Busanji tu, unaanza kuzurura mote humo. Physics na Chemistry acha kabisa, unajikuta tu unakuwa mgumu "holizontally" yaani hupati shida[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Siyo Mtendeni, Jamhuri, Bunge au Olympio Primary School? [emoji1][emoji1][emoji1]
Ukisha kwaruzana na Busanji tu, unaanza kuzurura mote humo. Physics na Chemistry acha kabisa, unajikuta tu unakuwa mgumu "holizontally" yaani hupati shida[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwalimu wa kemia anajihami utasikia "hii Organic chemistry itabidi tuianze wiki tatu kabla ya mtihani kuanza ili iwe rahisi kuyashika haya 'machain'" kumbe naye yanamgomea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Physics kama Namba zilikuwa zinapanda haikuwa ngumu kivile, kigongo ilikuwa hiyo Kemia bana, daah! [emoji23][emoji23]
Shape ya kibantu!!Daah!
πππππningendako [emoji23][emoji23]View attachment 1066385