Ahsante nimekuelewa. Ni vizuri tumeongeza idadi ya warembo kwa uzi wetu. Ukiwa na tatizo lolote ama jambo lolote kuwa huru, nichek PM. Hii treatment ni Special kwako tu.Mwachi hili Jina si langu ni Hawachi ni muunganiko wa mwanzo wa majina ya wazazi wangu.
Naye si muda atasepa. Mnahitaji masaa angalau manane ya kulala ili mkue...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaah nikilala mapema ntamuota messi daah bora nimuote CR7
ShukraniAhsante nimekuelewa. Ni vizuri tumeongeza idadi ya warembo kwa uzi wetu. Ukiwa na tatizo lolote ama jambo lolote kuwa huru, nichek PM. Hii treatment ni Special kwako tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii simu ngoja nitainunua watu wanaisifia iko njema.Watumiaji wa TECNO tunaonewa. Hata hapa waoneaji wapo [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1067222
Nyie watu wa Tecno wasumbufu sana. Kwani magufuli ana ndege??Watumiaji wa TECNO tunaonewa. Hata hapa waoneaji wapo [emoji36][emoji36][emoji36]
View attachment 1067222
Kuna mwenzako aliulizwa swali kama hilo, ila kama hakupenda, na hapa hatupendi kukwazanaWala halina utata nimejibu