Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
3. Leighton Baines- mabao 32
Everton wanaelekea kuagana na gwiji wao mwingine anayekwenda kwa jina la Leighton Baines. Beki huyo wa kushoto ameitumikia Everton tangu mwaka 2007 alipojiunga akitokea Wigan Athletics. Beki huyo mwenye umri wa miaka 34 kwa sasa anapata shida kutokana na kukosi hicho kumnasa Lucas Digne.
Jambo hilo limemfanya ashindwe kucheza na hivyo kushindwa pia kuongezea idadi yake ya mabao 32 aliyofunga Ligi Kuu England. Baines amekuwa mahiri kwa kufungwa kwa mikwaju ya penalti na friikikiki.