Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
5. Mayai hubadili msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto
Msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto au kwa kiingereza ‘Low Density Lipoprotine’ (LDL) ndio ambao hujulikana kama ni kolesto mbaya.
Inajulikana wazi kuwa, kuwa na msongamano wa chini wa lipoprotini kolesto huleta uwezekano wa hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo.